Huu mdude aliouchora kipanya

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
5,779
Reaction score
13,704
Ndo nini kipanya kutuchorea mdude umewekewa mikono?
 
Nimeiyona iyo picha nikashindwa kufahamu ni nini haswa huyu jamaa amemaanisha

May be inahitaji akili kubwa kuliko hizi zangu
 
Mbowe huyo uoni macho hayo
 
Kwa sababu tukio lake limeambatana na msiba wa mzee machache au !?
Halafu hiyo mikono inaonekana ni ya mwanamke. Kuna na mifupa pembeni maana yake huyo mtu amezuiwa ulaji. Au ulaji kushney.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…