Cruel mpole
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 106
Dah!my love huyu,sijui anafikiri kwenye oblongata yake mimi nina bustani ya miti ya pesa?au nimemzoesha vibaya?anway it is called life and sometimes it may happen.Eti naomba mnijuze,kujali maana yake nini?au ndo kutoa mihela kila kukicha?kama ndo hivi,i have to give up.Kwanini wanawake hamliziki?Keep on your minds that a b/friend or husband is not an ATM machine.Jaribu kujishtukia basi,kuweni na aibu.Msiendekeze shida ninyi wanawake la sivyo,u gonna face the music na tamaa zenu za hela,kumbuka hakuna cha bure.Uongwe magari,hata uongwe bahari,kumbuka utailipia tu.Hakuna kitu cha bure.