Kamba hizi.I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Masharti na vigezo kuzingatiwa,Mungu akujalie hitaji la moyo wako...I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Mwal wa mathe hapa ni wapiii Certified Hater
Sasa na majukumu ya ndoa itakuwaje? Nimecheka sana.Oa tu utajiendeleza ukiwa ndoani shemeji
Not really.Tatizo ni mrangi kulogwa na marafiki kufaidi mzigo ni kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]
Kamba hizi.
Sijawahi kuona mrangi mkristo. Wewe utakuwa msandawe.
Wewe kutowahi kuona haina maana kuwa hakuna!Kamba hizi.
Sijawahi kuona mrangi mkristo. Wewe utakuwa msandawe.
Mkuu hivyo vigezo vyote huwezi kumpata maana hatuna vyote.I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Hao wasandawe wanajidai tu warangi siyo warangi.Mbona wapo wengi tu Tena Tunanunuliana nao Kitimoto sana tu.
Antee.Kwa hizi sifa zako, waonekana mzuri weyeh
Dar RC imenikosesha mke jmnI have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Msinga ni nkasu URI huu!!?I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Hakuna ajabu mkuu, huyu ni member lkn kaja na id ya mambo muhimu sio mbayaMambo ya love connect haya
Eti tukio la uokoaji. π€£π€£π€£π€£ ila kweli hapo wanaume wamepiga na kupiga afu ujibebee tu 29 kwa masharti lukuki. Ila wanawake wanaona wanaume wanaumbwa kwa matazamio yaoTatizo Vigezo Vingi kama Kazi za TAMISEMI,
Hata hivyo Kumuoa mwanamke anayekaribia Miaka 30 Hayo sio mapenzi ni Tukio la uokoaji.
Hao wasandawe wanajidai tu warangi siyo warangi.