Just some quick corrections:Hi! I'm a lady of 28 years, I'm here to look for a husband.
I'm masters degree holder, TPA worker , polite and humble lady. I'm virgin.
I like children, reading, visiting sick people in different hospital and give them hope.
I also like to sing gospel music.
I will be glad if I will meet a man who is real serious so that we can be husband and wife.
He should be wiseman, honest, cheerful, not hot templed, fear God.
He should be ready to test for HIV and stay away from sex out of marriage.
He should be 28 and above.
A man who hasn't child will be considered first.
He should be hard worker of any education level.
My man should be of the same faith.
For more details I will be waiting for him in my private messages in box.
Welcome.
Why do you go through social channels to get your man of dream?Kweli
WHAT A PIECE OF ADVICE, GREAT STUFF, SALUTE TO YOUMji wa New York uko masaa 3 mbele ya mji wa California lakini haimaanishi kuwa California ni mji ambao uko slow...wala New York sio kwamba uko fast ... miji yote inaishi kwa kutegemea TIME ZONE...
Kuna mtu mpaka sasa yuko single...na mwingine alioa mapema tuu na kusubiri miaka 10 kupata mtoto...na yupo mwingine ambaye alipata mtoto ndani ya mwaka mmoja tuu baada ya kuoa.
Kuna ambaye aligraduate akiwa na miaka 22 na akasubiri miaka 5 kupata kazi nzuri...na kuna ambaye aligraduate akiwa na miaka 27 na akapata kazi mara moja!!
Kuna ambaye alikuwa mkurugenzi wa kampuni akiwa na miaka 25 tuu na akafariki akiwa na miaka 50 wakati huohuo yupo aliyeweza kuwa mkurugenzi akiwa na miaka 50 na akaishi hadi miaka 90...
So mwisho wa siku unagundua kuwa kila mmoja wetu ana TIME ZONE yake... Ndugu zako au rafiki zako wanaweza kuwa mbele yako au wanaweza kuwa nyuma yako lakini kamwe USIWAONEE WIVU WAWAPO MBELE YAKO na pia USIWAKEBEHI UWAPO MBELE YAO maana kila mtu yupo kwe TIME ZONE yake..
Hold on, be strong, and stay true to yourself...maana all things shall work together for your good...Hujachelewa na wala Hujawahi...upo ON TIME... STAY BLESSED.
Mji wa New York uko masaa 3 mbele ya mji wa California lakini haimaanishi kuwa California ni mji ambao uko slow...wala New York sio kwamba uko fast ... miji yote inaishi kwa kutegemea TIME ZONE...
Kuna mtu mpaka sasa yuko single...na mwingine alioa mapema tuu na kusubiri miaka 10 kupata mtoto...na yupo mwingine ambaye alipata mtoto ndani ya mwaka mmoja tuu baada ya kuoa.
Kuna ambaye aligraduate akiwa na miaka 22 na akasubiri miaka 5 kupata kazi nzuri...na kuna ambaye aligraduate akiwa na miaka 27 na akapata kazi mara moja!!
Kuna ambaye alikuwa mkurugenzi wa kampuni akiwa na miaka 25 tuu na akafariki akiwa na miaka 50 wakati huohuo yupo aliyeweza kuwa mkurugenzi akiwa na miaka 50 na akaishi hadi miaka 90...
So mwisho wa siku unagundua kuwa kila mmoja wetu ana TIME ZONE yake... Ndugu zako au rafiki zako wanaweza kuwa mbele yako au wanaweza kuwa nyuma yako lakini kamwe USIWAONEE WIVU WAWAPO MBELE YAKO na pia USIWAKEBEHI UWAPO MBELE YAO maana kila mtu yupo kwe TIME ZONE yake..
Hold on, be strong, and stay true to yourself...maana all things shall work together for your good...Hujachelewa na wala Hujawahi...upo ON TIME... STAY BLESSED.
Just some quick corrections:
a lady of 28 years= a lady of 28 years old
masters degree = master's degree
different hospital= different hospitals
should be wiseman = should be wise
who hasn't child = who has no child
be hard worker = be a hard worker
in box = inbox or in-box
Minasubiri mkalimani....[emoji5] [emoji5]sasa hizi lugha mnazotumia mimi hata sizielewi kwa kweli ngoja [emoji124] [emoji124] [emoji124] hivi.
Haja andika kwa hii lugha ya kibantu, yeye umeandika kwa lugha ilio letwa na majahazi, labda anatafuta wa huko ng'ambo...[emoji69] [emoji69]Mwenyezi Mungu akutangulie
Hizi aibu ndio hua nazikata, ona sasa unavyo haribu lugha ya wenyewe....[emoji15] [emoji15]Mmmmmmmmh virgin are u sure ? Ok am here but how can prove that u z virgin ???????
Basi nimesha kujua aiseeee.....[emoji13]Hata siku kweli mm nilisoma Sweden
Akiweka picha uniiteWeka picha tuone kama kweli
Hizi lugha za kigeni, zitatusababisha hata tuandike matusi aiseeee....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Iz zat yua foto on yua aveta?
Naona leo vijana hamna simile kuvunja yai....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ok send me pm.
Hi! I'm a lady of 28 years, I'm here to look for a husband.