N ndugufred Senior Member Joined Dec 30, 2011 Posts 137 Reaction score 44 May 9, 2014 #1 Kwa wale wanaomfaham huyu dogo album yake mpya inaitwa storyline imeshaanza kapatikana, kwa wanaomfatilia waipakue waenjoy vocals adimu. Kama humjui huyu dogo anaimba country ila yupo vzr
Kwa wale wanaomfaham huyu dogo album yake mpya inaitwa storyline imeshaanza kapatikana, kwa wanaomfatilia waipakue waenjoy vocals adimu. Kama humjui huyu dogo anaimba country ila yupo vzr