Then why did we have to buy maize all the way from Mexico last year???Hizo ni blah blah wazungu wakishiba wanakaa kwenye internet New York halafu wanakuja na huu ujinga,hawajahi hata kufika Afrika,au let's put it this way kwa miaka 5 iliyopita mahindi kiasi gani yametoka tz yameenda Kenya na Kenya kwenda Tanzania, baki na jibu lako kichwani.
Hawa hata wakileta study nyingine inaweza onesha Tanzania inaongoza kwa funza miguuni kwa watoto,usiamini kila kitu mitandaoni njoo field nyang'au
Hatukutaka kuuza ,tulihitaji akiba yetu ijitosheleze kwanzaThen why did we have to buy maize all the way from Mexico last year???
all this propaganda you keep digesting is bad for your health
Njaa kila Mwaka huwa inawaua Mkuu,hiyo najua for a fact kataa nilete evidence, last case ya mtanzania kufa na njaa sijui ilikuwa Mwaka ganiSo you thought tutakufa njaa?? i also thought you produce so much to sell and to eat??
Ngoja nitafute mafaili ,vp kwanza turkana msimu huu chakula kimetosha?umesema kila mwaka,leta evidence ya this year.
serikali ilielekeza watu wauze unga sio mahindi, viwanda vinavyofungasha unga Tz ni vichache. Na watu wengi Tz tumezoea kuuza mahindi. Kwahio mngekuja kutafuta unga labda mngepata. Hii ilikua kutia mkazo uanzishwaji wa viwanda. Maelezo haya aliyatoa waziri wa viwanda aliyepita Charles MwijageSo you thought tutakufa njaa?? i also thought you produce so much to sell and to eat??
Hacha propaganda ππππππππππBongolalas are always here always saying how we are suffering from hunger in Kenya.
I am always at pain to explain how the G.O.Kenya is investing massive resources in building dams and irrigation projects to ensure food production all year round for our arid country.
Over 60 dams meant for irrigation have been built or under construction counting from the last 6yrs..
Then to my shock i get a link to the global hunger index expecting TZ to be in the secure zone, yet their nation is above 95% arable and water secure..
Wabongo tafadhali tulieni,
View attachment 937424
Wewe kijana tulia sindano ikuingie vizuriππππππππππThen why did we have to buy maize all the way from Mexico last year???
all this propaganda you keep digesting is bad for your health
Your nation is food secure but people are experiencing hunger??H
Hacha propaganda ππππππππππView attachment 937473
haya tulinunua mexico, kuleni yote sasaserikali ilielekeza watu wauze unga sio mahindi, viwanda vinavyofungasha unga Tz ni vichache. Na watu wengi Tz tumezoea kuuza mahindi. Kwahio mngekuja kutafuta unga labda mngepata. Hii ilikua kutia mkazo uanzishwaji wa viwanda. Maelezo haya aliyatoa waziri wa viwanda aliyepita Charles Mwijage
Tuliza mshono... πππHii sindano unaiyonaπππππππππhaya tulinunua mexico, kuleni yote sasa
Umeisoma ukiwa umekodoa macho ππππππThis is 2014 Melissa bring the latest
Ungeongeza na..... sojaa sojaa tumevamiwaa! [emoji23] Cc. Janerose mzalendomods, mtu wa kenya akileta uzi unaohusu Tanzania hapa ni ruksa?