Kenya haijajipanga, njaa imekuwa tishio kwa nchi. Bei za vyakula zinazidi kupanda kila uchwao. Hakuna tumaini kwamba kuna siku zitashuka. Tatizo haliko kwenye majanga ya asili kama ukame, bali ni kuto jipanga. Kutumia ardhi kubwa kulima mazao ya kusafirisha nje ya nchi, ilhali, wananchi wakikosa mazao ya chakula. Pia pesa za kigeni ambazo zinapatikana kwa kuuza mazao nje hazitumiki kununua chakula kwa ajili ya wananchi wanaokufa kwa njaa. Hivyo kupelekea theluthi ya wakenya kuathiriwa na baa la njaa.
Soma zaidi:
View attachment 1191121News
Latest news headlines from Kenya, Africa and around the world. Check out today’s most recent and up-to-date news coverage, videos and photos at Nation.Africawww.nation.co.ke
Daaah hili sio jambo la kufurahia aisee wanatia huruma mpk machozi ujiran mwema itabidi ufanye kaz hapa.Kenya haijajipanga, njaa imekuwa tishio kwa nchi. Bei za vyakula zinazidi kupanda kila uchwao. Hakuna tumaini kwamba kuna siku zitashuka. Tatizo haliko kwenye majanga ya asili kama ukame, bali ni kuto jipanga. Kutumia ardhi kubwa kulima mazao ya kusafirisha nje ya nchi, ilhali, wananchi wakikosa mazao ya chakula. Pia pesa za kigeni ambazo zinapatikana kwa kuuza mazao nje hazitumiki kununua chakula kwa ajili ya wananchi wanaokufa kwa njaa. Hivyo kupelekea theluthi ya wakenya kuathiriwa na baa la njaa.
Soma zaidi:
View attachment 1191121News
Latest news headlines from Kenya, Africa and around the world. Check out today’s most recent and up-to-date news coverage, videos and photos at Nation.Africawww.nation.co.ke
Mipango, mipango, mipango.
Hawana mipango madhubuti ya kukabiliana na baa la njaa.
Hata sisi tunajua Bongo watoto wanakufa njaa, utapiamlo, magonjwa na kukosa matababu mema na pia wanakula KINYESI. Thanks
Na pia tuikomboe ATCL vile tulikomboa kule Canada 😂😂😂😂 I love the comedy that Tz is.Endelea kujua.
Na pia tuikomboe ATCL vile tulikomboa kule CanadaI love the comedy that Tz is.
Hapo pa ATCl unasiia Kama unaweza jitia kitanzi? 😭😭😭 Pole Dona kanti...we ar on ze rait traki...😂😂😂 Penda Sana.... I don't know what I would be without Tz sarakasi/comedy...JF sitoki kamwe stress za Failed State zinamalizikia humu. joto la jiwe njoo uone ninavyo wapiga mijeledi wenzako kwa forum Yao.Endelea kubonga mob.
Hapo pa ATCl unasiia Kama unaweza jitia kitanzi?Pole Dona kanti...we ar on ze rait traki...Penda Sana.... I don't know what I would be without Tz sarakasi/comedy...JF sitoki kamwe stress za Failed State zinamalizikia humu. joto la jiwe njoo uone ninavyo wapiga mijeledi wenzako kwa forum Yao.
Hebu tuelezee kinyesi iko namna gani bro? Hope sio ssabu yako ya kuwa mkali na mwenye majungu mengi hivi...unaongea Kama mtu aliyeharibu sura akijaribu kumeza kinyesi 😂😂😂Endelea may be itamaliza njaa iliyoko kenya.
Vipi Kaka, pipeline imefika wapi? Picha zitasaidia.😂😂Achana na huyu aliyebakiwa na akili ya kuvuka barabara na kurudi nyumbani.
Ukimuona akichukua nguo zako wakati unaoga mtoni, usijaribu kumfukuza, muache tu.
🤣
Hebu tuelezee kinyesi iko namna gani bro? Hope sio ssabu yako ya kuwa mkali na mwenye majungu mengi hivi...unaongea Kama mtu aliyeharibu sura akijaribu kumeza kinyesi
Vipi Kaka, pipeline imefika wapi? Picha zitasaidia.
Tanzania eats it's children alive through sorcery and stupidity.Kenya eats its children alive through hunger and plunder