Eiyer ngoja nikupe stor ya mkaka mmoja ni kweli kabisa alikuwa na mkewe na wakabahatika kupata mtoto. baada ya baba kuanza kupata hela akaona aanze ufuska lol si akachemka ktk pitapita akampitia hgel wa jirani. Sasa mkewe alikuwa ni mtu bize sana na kazi zake so wapambe wa mtaa wakawa hawamfagilii. siku moja yule hgel akamwambia hgel wa mama husika unajua watu wote hapa mtaani wanamshangaa sana mama yako? akauliza kwanini eti kabamia ka mumewe kadogo kama kipisi cha sigara, binti akamuuliza ulikaonea wapi?akajibu. mimi nimelala naye na hata mama fulani pia yaani, kabamia ni kadogo hata kakiingia huskii na ukikohoa tu kanatoka lol...................... binti husika alishindwa kuvumilia akamwambia mama yake. Mama wacha aangushe kilio jamani nilijua ni siri yangu na muhusika kumbe hata majirani wanajua hivi................ mume kuambiwa hana jibu kwa aibu lol. tell me alijidhalilishaje huyu?
Don't worry ma love Kaunga,u knw what,i was waiting for this!Don't worry King'asti is ma lovely sister,nitakuja nae kukupokea eapoti halafu tutaenda lunch wote!Love u ,big kissssss!!!!!
Dada yangu King'asti,umenichekesha mpaka baasi,kwamba kibamia chako nimekuachia ha,ha,ha,haaa!. . . Wengine koni zetu hazigawiwi hovyo,utam unazidi zile za Azam mara 5,naogopa kujaza watu bure!Watoto wa kike wataja jinyonga nipate kesi.Hii atakuja ataifurahia mai waifu atakaepatikana. . . . Dada tatizo lako umezoea kula kwenye hizo hoteli zenu mnaita za kileo,mi nimezoea kula kwa mama nijazie na wewe huendagi huko,sie kule tunakula na mikono usiposhiba unaongezewa ugali mkubwaaa!Twende huko leo!
Don't worry ma love Kaunga,u knw what,i was waiting for this!Don't worry King'asti is ma lovely sister,nitakuja nae kukupokea eapoti halafu tutaenda lunch wote!Love u ,big kissssss!!!!!
gfsonwin,umemsikia my love Kaunga alivyosema?Ukijiamini kila siku inakua mpya na mkeo/mumeo/mpenzi anakua mpya na mtam kila siku.Huna haja ya kurukaruka hovyo huko na huko mwishowe unakumbana na aibu kubwa!. . . . . . . Sweetie hujakosea kabisa,sisi tunajiamini bana!Raha nonstop!
Eiyer ngoja nikupe stor ya mkaka mmoja ni kweli kabisa alikuwa na mkewe na wakabahatika kupata mtoto. baada ya baba kuanza kupata hela akaona aanze ufuska lol si akachemka ktk pitapita akampitia hgel wa jirani. Sasa mkewe alikuwa ni mtu bize sana na kazi zake so wapambe wa mtaa wakawa hawamfagilii. siku moja yule hgel akamwambia hgel wa mama husika unajua watu wote hapa mtaani wanamshangaa sana mama yako? akauliza kwanini eti kabamia ka mumewe kadogo kama kipisi cha sigara, binti akamuuliza ulikaonea wapi?akajibu. mimi nimelala naye na hata mama fulani pia yaani, kabamia ni kadogo hata kakiingia huskii na ukikohoa tu kanatoka lol...................... binti husika alishindwa kuvumilia akamwambia mama yake. Mama wacha aangushe kilio jamani nilijua ni siri yangu na muhusika kumbe hata majirani wanajua hivi................ mume kuambiwa hana jibu kwa aibu lol. tell me alijidhalilishaje huyu?
Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii halafu ufanye jambo la kijinga namna hii.MWANAUME anaridhika na mkewe na anamheshimu mkewe.Hata mke huyo anajisikia fahari kumtambulisha kwa rafikize.Siyo kila mwanamke anaujua utupu wako una urefu gani,yaani anakuona kama hujavaa vile.Yanini raha ya mkeo uigawe hovyo hovyo?Enyi wanawake mkimgundua mwanaume wa aina hii,mkimbie hakufai!Tafadhali wanaume tujiheshimu!
hzhahahahahaaaa huyo baba kapata alichokuwa anakitafuta, kujidhalilisha bila sababu
na hayo ndo maisha mimi binafsi namkubali sana Kaunga sana she can make a good wife, and you too eiyer you are a good husband. Maisha ya kuruka ruka hadi unaaibika ni mabaya sana tena both sides. Nimewah kuskia tena mtu anadai kabisa mwanamke fulan nimetembea nae ila ana njia kubwa break ni korodani lol niliskia vibaya sana halaf mama mwenyewe ni mwingi wa haya mambo lol. sipend hata kuskia hizi tabia.
Kwi,kwi,kwiiiii!!Au unasikia wanalalamika eti bwawa la mtera!!