Alibino Senior Member Joined Jul 1, 2016 Posts 150 Reaction score 334 Aug 11, 2025 #1 Ndugu zangu nimemsikiliza Polepole naona yupo sahihi tumsikilize Your browser is not able to play this audio.
Ndugu zangu nimemsikiliza Polepole naona yupo sahihi tumsikilize Your browser is not able to play this audio.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 85,710 Reaction score 145,423 Aug 11, 2025 #2 Baba Dayana said: Ndugu zangu nimemsikiliza polepole naona yupo sahihi tumsikilize Click to expand... Polepole kasema mengi sana. Yupo sahihi katika lipi? Kusikilizwa amesikilizwa, kasema mengi. Sasa, unaposema yupo sahihi, una kusudia kusema yupo sahihi katika lipi? Mimi sitaki kukubaliana na mtu. Ukikubaliana na mtu ni kama umekubali hoja zake zote. Mimi nataka kukubaliana na hoja. Nimekusikiliza mpaka mwisho naona audio clip yako imeisha kabla hujamaliza mazungumzo yako.
Baba Dayana said: Ndugu zangu nimemsikiliza polepole naona yupo sahihi tumsikilize Click to expand... Polepole kasema mengi sana. Yupo sahihi katika lipi? Kusikilizwa amesikilizwa, kasema mengi. Sasa, unaposema yupo sahihi, una kusudia kusema yupo sahihi katika lipi? Mimi sitaki kukubaliana na mtu. Ukikubaliana na mtu ni kama umekubali hoja zake zote. Mimi nataka kukubaliana na hoja. Nimekusikiliza mpaka mwisho naona audio clip yako imeisha kabla hujamaliza mazungumzo yako.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,521 Aug 11, 2025 #3 Unaelewa maana ya sahihi?
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 69,466 Reaction score 122,781 Aug 11, 2025 #4 Baba Dayana said: Ndugu zangu nimemsikiliza Polepole naona yupo sahihi tumsikilize View attachment 3438360 Click to expand... Umemsikilizia wapi, hapo msibani kwa Ndugai maana alisema atakuwepo?
Baba Dayana said: Ndugu zangu nimemsikiliza Polepole naona yupo sahihi tumsikilize View attachment 3438360 Click to expand... Umemsikilizia wapi, hapo msibani kwa Ndugai maana alisema atakuwepo?