"Kwakweli CCM kwa msemeo wa wengi yetu inachechemea, yaani kila wanapoteua wasemaji wake ni form six failure! huyu jamaa wa sasa nae ni form 6 failure, mtangulizi wake nae alikua form 6 failure, sasa kusema kua chama chetu kinaendeshwa na intellectuals tunamaanisha nini? Hii hapana kwakweli"
Haya yalikua na maneno ya mwanaccm kindakindaki aliekua akisononeka akionekana mnyonge kabisa aliyeikosa amani ndani ya chama chake.
Ahaah, kumbe tulipokua tunajiuliza huyu alipokua akipondea nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya lakini baada ya kuteuliwa akawa wa kwanza kuripoti kazini. Hivi tunajenga vijana aina ya mwalimu nyerere wansozungumzia misingi ya ujamaa kuwatolea hawa kama mifano kweli?
CCM mna bahati mbaya sana! Utafikiri hakuna intellectuals kwenye chama kubwa kama lenu!