Mimi namuona kama shujaa kijana mzalendo na mfano wakuigwa na kujivunia kuwa na mtu kama huyu. Pia kuna kijana mmoja anaitwa Sabatho kwa wale waliopitia pale YUNA mtakuwa mnamfahamu.
swali lako ndilo swali swali langu!!.Mimi nimejua nitakutana na picha ya mtu ambaye Pole pole anatakiwa kutoa maoni juu yake,kumbe chenga tu.MCC imewavuruga watu vibayaaaa
swali lako ndilo swali swali langu!!.Mimi nimejua nitakutana na picha ya mtu ambaye Pole pole anatakiwa kutoa maoni juu yake,kumbe chenga tu.MCC imewavuruga watu vibayaaaa
mkuu ungefafanua vyema hapo maana humu JF kuna memba anatumia ID ya Mchambuzi! Sasa sijui unataka tutoe maoni kuhusiana na Humphrey pole pole ama Mchambuzi?
Lakini kama maoni ni kuhusiana na Humphrey Pole Pole basi yeye ni mbinafsi na mnafiki mkubwa tuliyewahi kuwa naye Tanzania. Nadiriki kusema ya kwamba kwa level ya Unafiki wake basi ni kwamba yeye yuko sawa na Shetani yaani nakusudia Ibilisi. Kwa nini ninasema hivyo? 1. Wakati tunatetea katiba ya wananchi basi alikuwa mstari wa mbele lakini alipoahidiwa kupewa uDC huyo kaponyoka. 2. Katika hili suala la MCC , ni kwamba yeye kwa kutumia fedha hizo hizo za MCC alikwenda hadi marekani kujifunza Demokrasia za huko. leo ameshindwa kukisadia chama chake cha CCM kutekeleza demokrasia na badala yake yeye anafurahia kukandamizwa kwa Demokrasia Tanzania! huyu ndie Pole Pole.