wa upande wa pili wakitaka kuongea na wanachuo, wanakatazwa. Utasikia mitahira michache inasema "wawaache wanafunzi wasome wasichanganye shule na siasa". Nyie CCM kucheza game fair hamuwezi hadi mbebwe na waamuzi (Polisi, TISS, Tume, Wakuu wa wilaya nk)