huyu jamaa anatafuta ubunge chadema,anakosoa sana ccm ambayo imemsomesha na kumlea mpaka hapo alipofika leo anaungana na genge la hawa wahuni wa ukawa

sawa lakini ungetujuza mkuu.... si vibaya kuwajuza pia
Samwel sitta kishafirika kisiasa na hata kiakili amebaki kasha tu kichwani hamna kitu
anapinga kupokea maoni kwasasa bungeni wafanyavyo akina sitta
anasema maoni yote yalishawasilishwa na tume na kila maoni si yaingie kwenye rasmu
anadai huku ni kupoteza fedha za watanzania.....
Tema mate chini. Hakuna mwenye akili Tz anayeweza kuungana ccm. CCM aka chama cha shetani.
We bwana! Unatumia akili kweli kufikiri au kiny.eo kupembua mambo?huyu jamaa anatafuta ubunge chadema,anakosoa sana ccm ambayo imemsomesha na kumlea mpaka hapo alipofika leo anaungana na genge la hawa wahuni wa ukawa
kidogo umepotoka mkuu.... kumi Cdm mia Wa ccm hapo tutakuwa sawaYaani Humphrey Polepole ,hata nisipomsikiliza ,najua tu atakua ameongea Point .
Namkubali saana jamaa ,anajua kupembua mchele na mawe.
Nilishawahi kusema .
Polepole ni Zaidi ya Wabunge Kumi CDM kumi CCM .Hata akigombania kupitia chama Kipi,sitoanfalia Chama ,nitampa kura yangu.
huyu jamaa anatafuta ubunge chadema,anakosoa sana ccm ambayo imemsomesha na kumlea mpaka hapo alipofika leo anaungana na genge la hawa wahuni wa ukawa
anapinga kupokea maoni kwasasa bungeni wafanyavyo akina sitta
Sitta ni kama mbwa Mzee , hana uwezo wa kujifunza mbinu mpya .......
Akihojiwa Channel ten, Hamphrey polepole amesononeshwa na kitendo cha wabunge maalum la katiba wakiwa katika kamati zao kupitisha Mapendekezo yanayotaka Rais wa Zanzibar awe makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tatizo lililopo ni kwamba Rais wa Zanzibar kachaguliwa na Wazanzibar tu! sasa anapata wapi mamlaka ya kufanya maamuzi ya watu milioni 40 wa Tanganyika?. Siku zote mgombea Urais huwa anachagua makamu wake ili watu wamtambue mapema ndipo waweze kumpigia kura Rais. Kama makamu wa Rais hakubaliki basi wapiga kura wanaweza kumkataa. Hili jambo limenishtua sana, Watanganyika tumeendelea kudharauliwa
.