Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Basii hiyo miongozo haitaongeza positive outcomes kwa chama..otherwise wambadilishe styleNadhani Pole pole anafuata miongozo ya chama chake ktk nafasi yake ya kazi Katibu mwenezi.
Hafanyi kazi kwa matakwa yake mwenyewe!!
Non of your business... Shauri yao wao wenyeweBasii hiyo miongozo haitaongeza positive outcomes kwa chama..otherwise wambadilishe style
Aloo Yule Hapiti Hata KdgoLazaro nyalandu ni kubwa jinga yule,hatoboi uchaguzi wa marudio
Weka majina na harakati za wenezi wa vyama vingine tulinganishe ufanisi wao!Toka apewe kijiti cha itikadi na uenezi sijaona , sioni na wala sitarajii kuona jipya kutoka kwa huyu jamaa katika kukisaidia CCM kwnye itikadi na uenezi.
Nnachokiona CCM kama CCM inajieneza yenyewe na hata kuzidi mikakati ya huyu jamaa.
Kinachoonekana ni hiki, Uimara wa CCM Kiitikadi na Uenezi ni Mkubwa kuliko mbinu zinazotumiwa na Humphrey Polepole.
Kwa wazee wenzangu huwa tunatumia kauli hii..
"kiatu alichokivaa Humphrey hakimtoshi"
Kwa watoto wa mjini husema , "hana jipya ndani ya chama".
Na mm nasema
"Humphrey huna unalosaidia ndani ya CCM , chama ni kikubwa kuliko akili unayowekeza kwnye nafasi hiyo"
Maana yake ni kwamba hata Unyamaze na usiingie ofisini , stil Itikadi na Uenezi wa chama utaonekana kuendelea.
Mm ni yule yule rafikia yako wa kuita "beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa".
Idd njema kwako/nyote.
Wewe utakuwa J muro!!Toka apewe kijiti cha itikadi na uenezi sijaona , sioni na wala sitarajii kuona jipya kutoka kwa huyu jamaa katika kukisaidia CCM kwnye itikadi na uenezi.