mkuu umemalia kabisa na hapatakuwa na jibu sahihi zaidi ya hilo.Muombe Radhi pole pole ila next time ukae ukijua kuna tofauti ya kauli unapokuwa juani na unapokuwa kwenye AC au kivulini ndugu yngu kile kilikuwa Kipindi cha njaa ss neema tupu muache atuonyeshe rangi ya Asili yke
Huna hoja gamba weWakina Lema wangekabidhiwa nchi hii (wenyewe wanaiita nji)watanzania tungeuzwa mnadani mchana kweupee!! Mimi hata sioni sababu ya tume huru ya uchaguzi mpaka wapatikane wapinzani wastaarabu.
Hapo katika JINA, labda zamani!Wanasiasa bwana, usiwaamini hata kidogo, zaidi ya salamu na jina vingine vyote ni uongo
duh....Hapo katika JINA, labda zamani!
Sio babu yule, usaliti tu ndio unaomfanya aonekane vile!Hiki kibabu kinafiki sana
Nimeipenda sn comment hiiMuombe Radhi pole pole ila next time ukae ukijua kuna tofauti ya kauli unapokuwa juani na unapokuwa kwenye AC au kivulini ndugu yngu kile kilikuwa Kipindi cha njaa ss neema tupu muache atuonyeshe rangi ya Asili yke
Mlungula chakula cha roho😎
huku uswaz tunasema muache apate pesa tujue tabia yake!!Muombe Radhi pole pole ila next time ukae ukijua kuna tofauti ya kauli unapokuwa juani na unapokuwa kwenye AC au kivulini ndugu yngu kile kilikuwa Kipindi cha njaa ss neema tupu muache atuonyeshe rangi ya Asili yke