S salmeen shabani Member Joined Jun 30, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Apr 22, 2015 #1 Msaada samaanii wakubwa naomba kuuliza ni ajira gani unayoweza kupata ukisomea Human resources, Msaada wenu wakubwa!
Msaada samaanii wakubwa naomba kuuliza ni ajira gani unayoweza kupata ukisomea Human resources, Msaada wenu wakubwa!
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,602 Reaction score 14,398 Apr 22, 2015 #2 salmeen shabani said: Msaada samaanii wakubwa naomba kuuliza ni ajira gani unayoweza kupata ukisomea Human resources, Msaada wenu wakubwa! Click to expand... Uwakala wa M-PESA
salmeen shabani said: Msaada samaanii wakubwa naomba kuuliza ni ajira gani unayoweza kupata ukisomea Human resources, Msaada wenu wakubwa! Click to expand... Uwakala wa M-PESA
S salmeen shabani Member Joined Jun 30, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Apr 22, 2015 Thread starter #3 Kaka unaleta masihala tena, acha utani kk
F fazam JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,868 Reaction score 1,291 Apr 23, 2015 #4 ualimu wa vyuo vya kata
S salmeen shabani Member Joined Jun 30, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Apr 23, 2015 Thread starter #5 Sawa kk
Void ab initio JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 5,739 Reaction score 5,703 Apr 23, 2015 #6 salmeen shabani said: Msaada samaanii wakubwa naomba kuuliza ni ajira gani unayoweza kupata ukisomea Human resources, Msaada wenu wakubwa! Click to expand... Human Resources Manager na nyinginezo.
salmeen shabani said: Msaada samaanii wakubwa naomba kuuliza ni ajira gani unayoweza kupata ukisomea Human resources, Msaada wenu wakubwa! Click to expand... Human Resources Manager na nyinginezo.
uwepo JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 600 Reaction score 743 Apr 24, 2015 #7 ni bora usome BA in general ambayo hiyo HR huwa umo ndani n utakuwa multpurpose kwa soko la ajira asante
ni bora usome BA in general ambayo hiyo HR huwa umo ndani n utakuwa multpurpose kwa soko la ajira asante
mzee Chibai JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 980 Reaction score 243 Apr 24, 2015 #8 uwepo said: ni bora usome BA in general ambayo hiyo HR huwa umo ndani n utakuwa multpurpose kwa soko la ajira asante Click to expand... Mshauri akasome Health Management aachane na hiyo Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
uwepo said: ni bora usome BA in general ambayo hiyo HR huwa umo ndani n utakuwa multpurpose kwa soko la ajira asante Click to expand... Mshauri akasome Health Management aachane na hiyo Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
S salmeen shabani Member Joined Jun 30, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Apr 27, 2015 Thread starter #9 mkuu heath management kwa waliosoma sayansi tu au wote?