LENJENTZ
Member
- May 21, 2013
- 69
- 10
Amani iwe nanyi nyoote
Tunahitaji Human Resource Manager mwenye uzoefu na elimu ya kutosha,elimu iwe ni degree au zaidi na uzoefu wa miaka sio chini ya mitatu akisimamia wafanyakazi zaidi ya mia mbili wenye ujuzi na wasio na ujuzi(skilled and unskilled labours)
Pia tunahitaji Sales Executives wanne,hawa wanatakiwa wawe na degree na uzoefu wa kuuza bidhaa kama lotion,sabuni za aina yote,poda za watoto na watu wazima,pafyumu na bidhaa kama hizo ambazo zinatoka nje ya nchi,wauzaji hawa wawe na wateja wa uhakika kama masuper market ,maduka ya jumla,maduka ya rejareja ,taasisi kama shule au vyuo au makanisa au misikiti,makampuni ya usafi,mahoteli,taasisi za umma na binafsi inayonunua sabuni na bidhaa za aina hiyo kwa wingi .
Tafadhali kama una vigezo au una ndugu mwenye vigezo kama nilivyoeleza hapo juu naomba sana tuma CV yako kwa chiefconsultant@lenjen.co.tz
Wote wenye vigezo wataitwa haraka iwezekanavyo kama huna vigezo tunaomba usitume CV yako.