Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 517
- 3,191
Habari zenu
Human Resource Officer anahitajika
Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti
Mahali pa Kazi: Dodoma.
Anahitajika HR mwenye uzoefu wa kufanya Kazi viwandani.
Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza vizuri, Labour Laws na Ujuzi wa kutumia Computer vizuri.
Tuma CV yako: hrfbde@gmail.com
Utapigiwa simu.
Ahsante