Miongoni Mwa Njia Kubwa na Rahisi Kabisa Kumuambukiza Mtu ni Kunyonya Panocha (Pussy).Unaambukizwaje? Na dalili zake ni zp?
Kwanini?Huo ugonjwa wa wanawake na wanaousambaza ni wanaume cha ajabu wanaume hawauguagi
Dalili zake ni zipi mkuu?Miongoni Mwa Njia Kubwa na Rahisi Kabisa Kumuambukiza Mtu ni Kunyonya Panocha (Pussy).
Kwani Mwanamke Anapoathirika Na HPV Unaponyonya tu Hile Panocha (Pussy) basi na Wewe unabeba Maambukizi Na Jiandae na Kansa ya Koo Kwani HPV ndiyo Wanaoongoza Kusababisha Kansa ya Koo Kwa Wanachama Wa Kunyonya Panocha (Pussy)
ww embu acha uongo....lol...!!!!!Nilishaumwa hii , na nikapona complete
Hizo chanjo ndio zitakuja kutuua kabisa, zina long term effects madhara yake ni ya baadae na tena ni mkubwa sana, dunia ya sasa kama sio mwerevu maisha yako yanakua hatarini sana, wanatengeza magonjwa yanayotujaza hofu then wanakuja kutumaliza na chanjo zao, maana ukisikia ugonjwa km huo alafu uambiwe Kuna chanjo yake lazima ukaifakamie Bila kujua madhara yake ni mkubwa zaidi..Human Papilloma Virus (HPV) ni virus inayosababisha magonjwa kama cancer ya haja kubwa (anal cancer), cancer ya uke (vaginal cancer), cancer ya mlango wa uke (vulva cancer) na cancer ya mdomo (mouth cancer). Chanjo inatolewa kwa mabinti wenye umri wa 16-18 kwa ugonjwa huo. Katika nchi za Africa, Nigeria imeanzisha mpango wa chanjo hiyo kwa vijana wote wa secondary. Nchi za magharibi chanjo hiyo hutolewa kwa vijana wote wa secondary, miaka 16 mzazi aridhie, miaka 18 ana uhuru wa kuamua mwenyewe.
HPV vaccine.
Ni moja katika dawa muhimu zilizoodheshwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa nchi zitakazoweza kugharamia chanjo hii kwa raia wake.
Panocha ,kulo no lipya pestosa wee.Miongoni Mwa Njia Kubwa na Rahisi Kabisa Kumuambukiza Mtu ni Kunyonya Panocha (Pussy).
Kwani Mwanamke Anapoathirika Na HPV Unaponyonya tu Hile Panocha (Pussy) basi na Wewe unabeba Maambukizi Na Jiandae na Kansa ya Koo Kwani HPV ndiyo Wanaoongoza Kusababisha Kansa ya Koo Kwa Wanachama Wa Kunyonya Panocha (Pussy)