Mtambuzi Platinum Member Joined Oct 29, 2008 Posts 8,809 Reaction score 15,442 Dec 24, 2012 Thread starter #21 HardMartin said: kama true pole Mtambuzi bt kama ni uwongo hongera kwa kutunga stori nzur Click to expand... Wewe ni mgeni hapa? Mimi siandikagi uongo humu, hebu waulize wanangu King'asti na Husninyo, watakuhabarisha.......... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
HardMartin said: kama true pole Mtambuzi bt kama ni uwongo hongera kwa kutunga stori nzur Click to expand... Wewe ni mgeni hapa? Mimi siandikagi uongo humu, hebu waulize wanangu King'asti na Husninyo, watakuhabarisha..........
Tetra JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 1,526 Reaction score 771 Dec 24, 2012 #22 = Alistahili kufa..Maana haijalishi mimba ameipata ktk mazingira yapi,,UHAI NI UHAI :: Wangapi wameishi na watoto wao,kwa masimango na watoto wao wamekua..ALISTAHILI KUFA =
= Alistahili kufa..Maana haijalishi mimba ameipata ktk mazingira yapi,,UHAI NI UHAI :: Wangapi wameishi na watoto wao,kwa masimango na watoto wao wamekua..ALISTAHILI KUFA =
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Dec 27, 2012 #24 R.I.P. Katarina, hawa wanaume ni makatiri sana. Sasa huyu kumbaka Katarina na kumtishia si ukatiri huu! Ungewahi kumchumbia!
R.I.P. Katarina, hawa wanaume ni makatiri sana. Sasa huyu kumbaka Katarina na kumtishia si ukatiri huu! Ungewahi kumchumbia!
ram Platinum Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,381 Reaction score 8,633 Dec 31, 2012 #25 Mtambuzi unatoaga wapi hizi story? Very touching story, maskini Katarina R.I.P!
K Kishili Benjamin Member Joined Jul 6, 2012 Posts 53 Reaction score 19 Dec 31, 2012 #26 oooh!pole kaka! Mpumbavu marehemu karatina!angeishi mpaka ajifungue na akiona ananyanyaswa sana ndipo aripoti kituo cha polisi?wadada tujifunze kitu
oooh!pole kaka! Mpumbavu marehemu karatina!angeishi mpaka ajifungue na akiona ananyanyaswa sana ndipo aripoti kituo cha polisi?wadada tujifunze kitu