thubutu! Kwani wao hawajipendiwanaweza wakaitisha uchaguzi mwengine hawa.
wanaweza wakaitisha uchaguzi mwengine hawa.
Kisheria,kama siku iliyopangwa inaangukia siku ya mwisho wa juma au sikukuu,shauri litakuwa siku ya kazi inayofuata.Kwahiyo,kama tar 20 itakuwa sikukuu,hukumu itasomwa tar 21.Nadhani umenielewa Mkuu.
wanaweza wakaitisha uchaguzi mwengine hawa.
Mkuu naomba ufanunue hiyo tarehe, mimi bado sijakupata vema.Mwezi umeshaanza kuchungulia kwa mbali, kuna uwezekano tukafuturu tarehe 18/19