Wakuu heshima mbele!
Tafadhali naomba kujuzwa ile hukumu ya kesi ya Ubunge ya mh Lema ilitajwa kusomwa jjn Dar 29 Oct. Je ilisomwa? maamuzi gani yalitolewa? Tafadhali
Wakuu heshima mbele!
Tafadhali naomba kujuzwa ile hukumu ya kesi ya Ubunge ya mh Lema ilitajwa kusomwa jjn Dar 29 Oct. Je ilisomwa? maamuzi gani yalitolewa? Tafadhali
vyovyote itakavyokuwa kamanda lema songa mbele mungu yupo nawe daima na tunakukaribisha mbulu( dongobesh) 18/11/1012
kwaajili y a ufunguzi wa kampeni ya udiwani tutetee kata iyo kwani diwani aliyefariki alikuwa wa chadema