Tanguliza na faida ambayo ATCL imetengeneza tangu shirika libuniwe. Hata shilingi moja tu ya hela ya madafu tzsh! Shirika halina destination na route zozote za maana za kutangaza nchi yenu, wala hampewi vibali vya kutua. Kazi ni kukata viuno tu wakati wa mapokezi na kufanya vitu vya ajabu ajabu kama kupaka rangi ya nyumba na kubeba nyama. Kweli Bongo ni kichwa cha mwendawazimu.