Huku Tz wakipaka ndege yao rangi na kubeba nyama, Rwandair kuanzisha safari za Kinshasa

Najua unajitia hamnazo kuhusu ndege wanazomiliki KQ kwahivyo sitapigia mbuzi gitaa. Hapa tunaongea kuhusu route mpya ya RwandAir kuenda Kinshasa. Huku ATCL ikinyimwa vibali vya kutua kwenye route zake hewa, hebu tizama route ambazo KQ inachapa kote duniani.
images
Ujinga mtupu
 
Tanguliza na faida ambayo ATCL imetengeneza tangu shirika libuniwe. Hata shilingi moja tu ya hela ya madafu tzsh! Shirika halina destination na route zozote za maana za kutangaza nchi yenu, wala hampewi vibali vya kutua. Kazi ni kukata viuno tu wakati wa mapokezi na kufanya vitu vya ajabu ajabu kama kupaka rangi ya nyumba na kubeba nyama. Kweli Bongo ni kichwa cha mwendawazimu. :D
Kenya mnatuonea wivu sana
 
Najua unajitia hamnazo kuhusu ndege wanazomiliki KQ kwahivyo sitapigia mbuzi gitaa. Hapa tunaongea kuhusu route mpya ya RwandAir kuenda Kinshasa. Huku ATCL ikinyimwa vibali vya kutua kwenye route zake hewa, hebu tizama route ambazo KQ inachapa kote duniani.
images
Mbona Mnaa hasara hivyo. Kama mnamtandao wa njia hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom