huku ndio mtaani kwetu

siku zote mpika gongo habadiliki maishani...wala kupata kipato kitakachoonekana jamanii hili nimelihakikisha. Na gharama ya hiyo ngazi hapo kama kweli ni tadhimili angeweza kununua kiwanja mahali pengine na kujenga nyumba ya maana huyu mwenye nayo, labda kama ni ya Magufuli!!!
 
me nimeipenda hiyo ngazi, ni wapi huko??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…