Huku nako bondeni?

Fascination

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
86
Reaction score
55
Nimeipata hii leo,maji ya mvua yameingia hadi ndani mlimani city...inamaana huku nako bondeni??
 

Attachments

  • 1453310343262.jpg
    28.6 KB · Views: 90
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaah, huenda mafuriko yamemiss watu wake sasa yameamua kuhamia sehemu zenye watu
 
Nimeipata hii leo,maji ya mvua yameingia hadi ndani mlimani city...inamaana huku nako bondeni??
Kwa hiyo unataka mlimani city ibomolewe? Dar yote haina bonde, tatizo kubwa ni miundo mbinu dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…