Huku mvomero sijui hata kuna mdudu gani!!

CBN

Member
Aug 5, 2011
64
12
Tumeichoka ccm kwa kweli kha.. Kwanza diwani wa kata ya mvomero kuandika hawezi na ameishia darasa la 4.. Vijisenti vya urithi2 ndo vinampa promo.. Haya wazee wanasema alipewa mil 25 kwa ajili ya kuchimbia mitaro pembeni ya barabara ya dakawa-kibaoni,amekula hela na toka mwezi wa 5 mpaka sasa hakuna kinachoendlea.. Haya mh mbunge,makalla alinunua magunia 60 ya mahindi kwa ajili ya msaada na watu alisema wapewe bure,mkuu wa wilaya kayauza,pesa kala.. Hutuoni lolote la maana na hii ccm,. Wanaotuponza ni akina mama ambao wana shobo na khanga,kofia na vitenge vya hawa watu.. Tubadilike na muda wa kuburuzwa umepita.
 
Na wewe c ni mmoja wao uliyeichagua kwa kupewa ubwabwa na fulana na mtakoma hy ni hadi 2015 we kula bange tu na gongo hapo kwa mama muuza upooze roho yako!!
 
Back
Top Bottom