Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
Unaonekana unaumia sana na mambo ya Yanga. Hakukuwa na ulazima wa kujitetea sana kwenye Jambo dogo kama hili la picha tu.LAZIMA TUWAKUMBUSHE
Kuwa wakati mnatamba Rais wa Yanga Just kupiga picha tu , Mkumbuke Simba iliwahi kuombwa elewa neno Kuombwa wacheze mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sevilla na mchezo ulichezwa
Kumbuka Simba hawakupaswa kucheza mchezo huu kwa kuwa hawakuwa mabingwa wa kombe la Sportpesa lilokuwa linafanyika miaka ya hivi karibuni , lakini kwa kuwa aliyechukua Ubingwa alikuwa hana kiwango bora Sevilla wakasema wao wanahitaji kucheza na Simba SC
Imagine unacheza na team kama Sevila na unaifunga bao nne , halafu kuna mtu anasema Rais wa Yanga kupiga picha na Wachezaji wa PSG ambao hata Ommy Dimpoz alipiga picha na wachezaji wa Man u
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi kipindi hicho Mo Dewj alimkabidhi Rais w FIFA Infatino jezi ya Simba kwa mara ya kwanza jezi ya Team toka Tanzania ilishikwa na rais wa FIFA.
Simba ndiyo Club ya Kwanza kuletea watu wa mpira Tanzania African Super League alikuja Rais wa FIFA, akaja Arsene Wenger n.k
Simba SC ndiyo Club ya kwanza Kupostiwa kwenye page ya FIFA WORLD CUP na sasa ndiyo Club ya kwanza itakayoshiriki mashindano ya World Cup ngazi ya vilabu.
Haya tunayaongea ili muone ni mambo ya kawaida sana ,lakini kuna watu wataumia ila kwa kuwa ndiyo kwanza kwenu mnatakiwa kufurahia ikiwezekana na mabango tena yawekwe!!
Bata wa Head
View attachment 2862272
SIFA ZITAMUUA HUYU MASHAVU WA UTOPOLO.Kwani hivi ni lazima kujitetea kwa kila wafanyacho Yanga kweli?
Makolo mna tabu sana.
Hersi kapiga picha kwa utashi wake inakuwaje mnatoka povu kiasi hiki asee. Mtaendelea kucheza mziki wa Yanga hadi lini? Kila anachofanya Yanga lazima mkitafutie majibu, mnapotea sana aisee
Kama Simba alishapita huko is well and good, huna haja kubwabwaja yote hayo, unajionesha kiasi gani unaburuzwa na matendo ya Yanga mburula wewe
Utopolo wanatumia nguvu kubwa kuonesha wao ni tim kubwa ,,lakini ki uharisia bado ni tim ndogo ina safari ndefu sana 😁SIFA ZITAMUUA HUYU MASHAVU WA UTOPOLO.
Hivi karibuni Raisi wa FIFA Infatino alipokuja kwaajili ya tukio la ufunguzi wa Super league na Simba akiwa ndiye baba wa tukio hilo
Jamaa huyu wa UTO alienda kujipendekeza kwa Raisi wa FIFA bila kualikwa lengo tu sifa sifa tu ijulikane naye yupo[emoji23] hata hivyo hakuambulia sehemu aliishia kujieleza bila kueleweka
Kwenye finali ya Africa Super league huyu huyu Raisi wa Utopolo alienda huko south Africa bila kupewa mwaliko kwani UTO haimo kwenye haya mashindano
Baadaye aliambulia kuishia mlangoni tu baada ya kuambiwa hatambuliki hivyo haruhusiwi kuwa sehemu ya wageni rasmi na huku Try Again alikua miongoni mwa wageni waalikwa, hapa napo akaambilia aibu ya kusukumiziwa njeee
Leo hii tena kaenda huko PSG kalipa pesa ili apate nafasi ya kukutana na baadhi ya Watu pale klabuni
Ila kadanganya kwamba kapewa mwaliko[emoji23][emoji23]
Yani kuomba apige picha tu na wachezaji wa PSG kashadanganya kwamba alipewa mwaliko [emoji23]
Kupiga picha ni simple hata Brother K au Bocco anaweza kwenda na kupiga picha nao muhimu utoe pesa baasi
SIFA ZITAMFIKISHA PABAYA HUYU MTU[emoji23][emoji23]
Kwani hivi ni lazima kujitetea kwa kila wafanyacho Yanga kweli?
Makolo mna tabu sana.
Hersi kapiga picha kwa utashi wake inakuwaje mnatoka povu kiasi hiki asee. Mtaendelea kucheza mziki wa Yanga hadi lini? Kila anachofanya Yanga lazima mkitafutie majibu, mnapotea sana aisee
Kama Simba alishapita huko is well and good, huna haja kubwabwaja yote hayo, unajionesha kiasi gani unaburuzwa na matendo ya Yanga mburula wewe
Aliewaita matikit ya mo hakukosea. Mtateseka sana na YANGA trip hii. Kila kinachofanywa lazima mkitafutie majibu ya kuokoteza. Wakati huo YANGA wanafanya hawana habari kabisa na mikia. Mtateseka sana na bado hamjasemaLAZIMA TUWAKUMBUSHE
Kuwa wakati mnatamba Rais wa Yanga Just kupiga picha tu , Mkumbuke Simba iliwahi kuombwa elewa neno Kuombwa wacheze mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sevilla na mchezo ulichezwa
Kumbuka Simba hawakupaswa kucheza mchezo huu kwa kuwa hawakuwa mabingwa wa kombe la Sportpesa lilokuwa linafanyika miaka ya hivi karibuni , lakini kwa kuwa aliyechukua Ubingwa alikuwa hana kiwango bora Sevilla wakasema wao wanahitaji kucheza na Simba SC
Imagine unacheza na team kama Sevila na unaifunga bao nne , halafu kuna mtu anasema Rais wa Yanga kupiga picha na Wachezaji wa PSG ambao hata Ommy Dimpoz alipiga picha na wachezaji wa Man u
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi kipindi hicho Mo Dewj alimkabidhi Rais w FIFA Infatino jezi ya Simba kwa mara ya kwanza jezi ya Team toka Tanzania ilishikwa na rais wa FIFA.
Simba ndiyo Club ya Kwanza kuletea watu wa mpira Tanzania African Super League alikuja Rais wa FIFA, akaja Arsene Wenger n.k
Simba SC ndiyo Club ya kwanza Kupostiwa kwenye page ya FIFA WORLD CUP na sasa ndiyo Club ya kwanza itakayoshiriki mashindano ya World Cup ngazi ya vilabu.
Haya tunayaongea ili muone ni mambo ya kawaida sana ,lakini kuna watu wataumia ila kwa kuwa ndiyo kwanza kwenu mnatakiwa kufurahia ikiwezekana na mabango tena yawekwe!!
Bata wa Head
View attachment 2862272
Nakazia mkuu.Utopolo wanatumia nguvu kubwa kuonesha wao ni tim kubwa ,,lakini ki uharisia bado ni tim ndogo ina safari ndefu sana 😁
🤔🤔🤔🤔🤔 umechanganya na kombe la mapinduziSimba SC ndiyo Club ya kwanza …………………… ndiyo Club ya kwanza itakayoshiriki mashindano ya World Cup ngazi ya vilabu.
View attachment 2862272
Mkuu kwani simba ameishapita kwenye mchujo wa kwenda kucheza world cup?LAZIMA TUWAKUMBUSHE
Kuwa wakati mnatamba Rais wa Yanga Just kupiga picha tu , Mkumbuke Simba iliwahi kuombwa elewa neno Kuombwa wacheze mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sevilla na mchezo ulichezwa
Kumbuka Simba hawakupaswa kucheza mchezo huu kwa kuwa hawakuwa mabingwa wa kombe la Sportpesa lilokuwa linafanyika miaka ya hivi karibuni , lakini kwa kuwa aliyechukua Ubingwa alikuwa hana kiwango bora Sevilla wakasema wao wanahitaji kucheza na Simba SC
Imagine unacheza na team kama Sevila na unaifunga bao nne , halafu kuna mtu anasema Rais wa Yanga kupiga picha na Wachezaji wa PSG ambao hata Ommy Dimpoz alipiga picha na wachezaji wa Man u
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi kipindi hicho Mo Dewj alimkabidhi Rais w FIFA Infatino jezi ya Simba kwa mara ya kwanza jezi ya Team toka Tanzania ilishikwa na rais wa FIFA.
Simba ndiyo Club ya Kwanza kuletea watu wa mpira Tanzania African Super League alikuja Rais wa FIFA, akaja Arsene Wenger n.k
Simba SC ndiyo Club ya kwanza Kupostiwa kwenye page ya FIFA WORLD CUP na sasa ndiyo Club ya kwanza itakayoshiriki mashindano ya World Cup ngazi ya vilabu.
Haya tunayaongea ili muone ni mambo ya kawaida sana ,lakini kuna watu wataumia ila kwa kuwa ndiyo kwanza kwenu mnatakiwa kufurahia ikiwezekana na mabango tena yawekwe!!
Bata wa Head
View attachment 2862272
Haji tuendelee kumheshimu kwa kauli hiiYanga wenye akili wawili tu,waliobakia wote kama Haji alivyosema
wacha bangi...pale sevilla hawana rekodi yoyote kwamba waliwahi kucheza na simba,km vitu hujui sema ujulishweLAZIMA TUWAKUMBUSHE