ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Kwan ajab nn
Kudisco semister ya kwanza
Inawezekana,sasa kama mtu kati ya kozi 6 au 7 una supp kuanzia 4 unategemea semister ya pili utafanya muujiza gani utoboe?
Mkuu,huo sio utaratibu wa SUA tu,vyuo vingi bila kujali kama ni semester ya kwanza,ngoma nne zikiingia nyavuni tu kwa semister hyo,i.e kama hujafikisha wastani kwa masomo manne mfululizo,unaliwa kichwa,nina mshkaji wng last year aliliwa kichwa chuo cha saint nn sijui kile kilicho mbezi mwisho hadi mwaka huu akaomba adailiwe chuo kingine na kapata,sasa hv ubitoz kaacha anapiga msuli balaa
Leo nimepigiwa simu na mtu anaye soma pale SUA yeye anasoma bsc.ya forest...akaniuliza hivi chuoni kwenu mtu anaweza disco semister ya kwanza kama hata fikisha wastani wa chuo?
Mimi nikamjibu kwa kweli mimi sijui kwa huku kwetu sijaona najua semister ya pili ndo disco inapotokea na kwa huku chuoni kwetu ipo hivyo! Akasema basi sahizi amerudi SUA Na amekuta watu wamesha fungishiwa mabegi yao kwamba wamesha disco!
Nikamuliza ni wangapi akasema kwa kozi yake ameshawasiliana na wanafunzi 5 ambao teari wamedisco so kuna wengine wengi na bado kozi zingine hiyo ni semister ya kwanza!
Akasema pia hapa mwaka wa kwanza unapo fikia tu kabla hujakaa sawa unafanya mtihani wa kingereza lengo ni kuwa kuna wengine wanaenda chuo hawajui kingereza usipo fikisha 50% basi utasoma kingereza kama kozi! Nimeshangaa
Shikamoo SUA!
Kamwene SUA!
Nawasalimu SUA!
Nakumbuka kipindi nafanya application watu wengi walinionya nisichague SUA sikujua kwanini,dah poleni sana wanasua komaeni mtatoka mana hiko chuo kinaheshima kubwa.
wewe wasema, kuna chuo hata uwe na sup 5 unaendelea kusoma