Huko Duniani Watoto wa Wanajeshi huwa wanakuja kuwa Wanajeshi; hapa Tanzania ni tofauti sana, utawakuta wamejaa kwenye siasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Bado nafanya Utafiti japo miaka ya 1980s hata hapa bongo Watoto wa wajeda walipendelea kuwa Wanajeshi na Watoto wa Mamwela walipendelea kuwa mapolisi

Namkumbuka Oscar Luhanga Mtoto wa Brigedia Jenelari Luhanga amefia jeshini akiwa captain, RIP Oscar

Tungekuwa na akina Muhoza na akina Kabila na sisi

Nawatakia Alhamis ya Amri yenye Baraka😀
 
Kwani lazima!
 
Kwenye majeshi yetu pia watoto wengi tu wapo humo humo majeshini.
 
Unapofanyia utafiti chini ya uvungu..post huko huko uvunguni.
Marijani Rajabu hakutaka mwanae Rajabu awe mwanamuziki sababu aligundua Muziki hautamlipa chochote km ambavyo yeye haukumlipa kitu maana mwishoni aliishia kuugua akiwa amegubikwa na umasikini huku kitu pekee alichoona kitamnufaisha ni kuuza Sahani za Muziki wake aliourekodi studio za RTD
 
Bado nafanya Utafiti japo miaka ya 1980s hata hapa bongo Watoto wa wajeda walipendelea kuwa Wanajeshi na Watoto wa Mamwela walipendelea kuwa mapolisi

Namkumbuka Oscar Luhanga Mtoto wa Brigedia Jenelari Luhanga amefia jeshini akiwa captain, RIP Oscar

Tungekuwa na akina Muhoza na akina Kabila na sisi

Nawatakia Alhamis ya Amri yenye Baraka😀
Wewe mbona haujawa mganga wa jadi ingawa ulikuwa ndundami?Umeishia kuwa mkulima wa "mchele" Pawaga.Mere joke!Don't take it too serious,mukubwa!Nakusalimia kutoka Kiabakari kambini 12!😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom