tocolyitics
Member
- Feb 5, 2012
- 76
- 35
Siku kama kumi sasa kila ikikaribia taarifa ya habari ya saa mbili usiku umeme unakatika na kurudi mpaka taarifa ya habari iishe. Hapa Mwaza ndio madai ya wananchi wengi hawaelewi kwa nini mgao wa umeme ni wakati huo.