Mchaka Mchaka JF-Expert Member Jul 20, 2010 4,516 1,404 Nov 4, 2011 #1 The Tanzania National Website click on the link and try opening the pages of the above regions.
lukindo JF-Expert Member Mar 20, 2010 8,466 9,028 Nov 4, 2011 #2 kama ni kweli (vinginevyo atokee mtu wa serikari hata kwa ID yake binafsi) aeleze nini kinaendelea. Mbali na hapo inaonyesha kuwa watu wamefikia uwezo wao wa kufikiri pamoja na kukabiliana na challenges!
kama ni kweli (vinginevyo atokee mtu wa serikari hata kwa ID yake binafsi) aeleze nini kinaendelea. Mbali na hapo inaonyesha kuwa watu wamefikia uwezo wao wa kufikiri pamoja na kukabiliana na challenges!
ikizu JF-Expert Member Oct 26, 2011 431 56 Nov 4, 2011 #3 hii ni aibu kweli kweli maana Serikali ya CCM inawapa watu umaarufu pasipo sabau
Edson JF-Expert Member Mar 7, 2009 9,846 5,076 Nov 4, 2011 #4 Sorry! The domain is currently not available. If you are the Administrator of this website, Please contact the billing section (+255 658 680751). Apology for any inconvinience.
Sorry! The domain is currently not available. If you are the Administrator of this website, Please contact the billing section (+255 658 680751). Apology for any inconvinience.
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Jul 20, 2010 4,516 1,404 Nov 5, 2011 Thread starter #5 Hata mishe mishe za kusheherekea uhuru feki wa Tanzania huku Arachuga Hakuna!
NICK2275 JF-Expert Member Oct 31, 2010 3,931 918 Nov 6, 2011 #6 kila sehemu tabu tu-hakuna tunapoweza hata kwenye kuweka details zetu