1. kikiem kikiem aaaah,kyama kya mapyindyuuzi kikiem jamba nyani. na kiyetwe jamba nyani na kizyombe jamba nyani.halafu inafuata miluzi mingi na makofi .
2. Chitaki kulya jamani, chitaki kulya haye, na chibabu haye nachibibi haye.
Naomba uchaguwe wimbo mzuri na kuweka alama mfano. 1. ndiyo/ hapana
2. Ndiyo/ hapana
Utapatiwa zawadi hapa hapa JF
Tuma salamu kwa watu 3.
Mchana mwema