Naitaji nyumba ya kupanga yenye sifa zifuatazo
Location== Kimara/mbezi ya tegeta
Chumba ni kimoja kiwe na
Choo ndani
Maji ya kutosha
Kiwe kikubwa
Gypsum but not necessary
Tiles
Kisiwe mbali saana na main road
Usalama wa kutosha
kisiwe na mauza uza(NB)