Hata Mandela walikuwa wanamuita hivyo,,wewe kwanini hujiulizi kwanini wamarekani wanahaha kuondoa roho yake, na nini kilitokea Cuba,,cha msingi elewa once una maliasili nyingi kama gesi, mafuta, madini ardhi nzuri ya kilimo, ukikataa kwenda jinsi Wamarekani wanavyotaka lazima wakuondoe duniani kwa garama yoyote
Mchana mwema