GE2025 Huenda Profesa Lipumba akakosekana miongoni mwa watakaogombea urais 2025

GE2025 Huenda Profesa Lipumba akakosekana miongoni mwa watakaogombea urais 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Huenda jina la Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba likakosekana miongoni mwa watakaogombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika kipindi cha miaka 30, Profesa Lipumba amewahi kugombea urais mara tano na alipumzika mwaka 2015 baada ya chama chake, pamoja na vyama vingine vitatu kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kumsimamisha mgombea mmoja wa urais, Hayati Edward Lowassa.

 
Back
Top Bottom