Huedna hii ikakusaidia siku moja

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,142
HUENDA HII IKAKUSAIDIA SIKU MOJA!



Endapo utavamiwa na majambazi na wakakulazimisha kuwatolea pesa kwenye ATM, ili kuokoa maisha yako, wala usitaharuki.

Unachopaswa kufanya ni kuingiza namba ya siri kinyume. Kwa mfano kama namba yako siri ni 1234, basi ingiza kama 4321.

Ukimaliza tu kuingiza tarakimu hizo, pesa zitaanza kutoka lakini zitakwama katikati. Ikitokea hivyo, taarifa kwamba kuna uhalifu unatendeka kwenye ATM hiyo itatumwa kwa Afisa Usalama wa benki husika na Kikosi cha Polisi bila ya
m/wahalifu kujua.

Kila ATM ina mfumo huu, bahati mbaya ni kwamba mabenki hawawaelimishi wateja wao kuhusu tahadhari hii.

Wasambazie taarifa hii ndugu, jamaa na marafiki wote, huenda ukaokoa maisha ya mmoja wao.
 
Teh teh..Watu walivyokuwa Matomaso..ukiwaambia hivi watataka kujaribu..
 
Hahahaaaa mkuu kesho naenda kujaribu nikikamatwa na log JF nawaonyesha thread yako
 
MziziMkavu akili yako imechoka kufikiri na kuvumbua tiba mbadala? Jikite kwenye taaluma yako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…