Huduma za Kihasibu na Biashara

mohame kholani

Senior Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
145
Reaction score
103
Tuna shughulika na kazi zifuatazo:-
1: Ku filling return
2: Kutengeneza vitabu vya kimahesabu
3: Makadirio ya kuanza biashara
4: Ushauri wa kodi (TAX CONSULTANT)
5: kuagiza mzigo nje ya nchi (importation).
6: Supply hardware and bulding materials.
7: Shughuli zote za stock na....
8: Mifumo ya kuendesha biashara.

NJOO TUKUHUDUMIE KWA URAHISI NA HARAKA.
Mahali: Dar es salaam-kariakoo gerezani
Simu: 0712-430 116
email: mohd9195@gmail.com
 
Kweli bhana naona umeamua kufungua TRA ya private maana naona hadi estimation mnafanya naombeni Ajira ndugu zangu maana tutakufa kwenye hii serikali
 
Vip kuhusu kumuelekeza mtu namna ya ku-file VAT za Kila mwezi,km mnafanya
Gharama zake zipoje mohame kholani mohame kholani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…