Huduma za afya zinapatikana kwa gharama nafuu.

Unbelievable

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
262
115
Kanisa la Waadventista wa Sabato Kirumba kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali wanatoa huduma za afya kwa gharama nafuu.

Huduma zinazopatikana hapa katika viwanja vya Kanisa la Waadventista wa Sabato ni kama ifuatavyo÷

1.Huduma za macho.
Wapo madaktari bingwa kwa kwa ajili ya huduma za afya ya macho,upimaji ni bure na miwani inapatikana kwa gharama nafuu kabisa.

2.Huduma nyingine ni kama ifuatavyo
40696130bf7bdca9dac2bc73c6130ab4.jpg
na uchangiaji wa damu pia karibuni sana wapendwa.
 
Back
Top Bottom