pcman JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 742 Reaction score 189 Jul 21, 2010 #1 nilikuwa napenda kufahamu, Hivi huduma ya kuzimiwa moto inalipiwa?. Maana naona hata baadhi ya makampuni binafsi yana magari kwa ajili hiyo.
nilikuwa napenda kufahamu, Hivi huduma ya kuzimiwa moto inalipiwa?. Maana naona hata baadhi ya makampuni binafsi yana magari kwa ajili hiyo.
P Pandisho New Member Joined May 11, 2010 Posts 4 Reaction score 0 Jul 21, 2010 #2 inalipiwa tena gharama kubwa pale inapotolewa na kampuni binafsi iwapo mhanga wa huo moto hakuwa mteja wao kabla ya tukio.Hata huduma ya kuokoa maisha na si mali hutolewa bure.
inalipiwa tena gharama kubwa pale inapotolewa na kampuni binafsi iwapo mhanga wa huo moto hakuwa mteja wao kabla ya tukio.Hata huduma ya kuokoa maisha na si mali hutolewa bure.