FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,141
- 1,448
Ni mfumo wa kitechnologia unaomwezesha mtoa huduma/Mfanyabiashara / Company kuwa karibu zaidi na mteja kwa njia ya messages. Tofauti na mifumo mingine, 2WM inaoption ya Chatting baina ya company na mteja Yani mteja anauwezo wa kuuliza Mahalia ambapo hajaelewa ama kutoa maoni yake dhidi ya bidhaa husika.
Kwa nini Two Way Messages (2WM)?
✓Inakuza brand name ya Company/Biashara.
Messages za 2WM zinaenda na sender ID ya jina husika la company/Biashara, mfano CHANJO. SONGESHA. JIMIXIE etc
✓Inamwezesha mteja na Mfanyabiashara kupata mrejesho kwa njia ya Chatting. 2WM inaoption ya Reply, hivyo kuwezesha mawasiliano dhidi yao kwa miadi ya kibiashara.
✓Mfumo wa 2WM una -Auto Reply. Yani pindi tu mteja anapoandika na kuuliza jambo fulani, basi atapokea ujumbe wakati huo huo kuwa message yake imefika na inafanyiwa kazi kazi.
✓Unaweza tumia kama Digital Suggestion Box. Yani tofauti na kuweka box la sanduku la maoni, basi unaweza tumia namba kwa kutuma na kupokea maoni na namba hiyo unaweza itumia kwa simu zaidi ya moja..
✓Inawezesha kuwafikia wateja kwa njia ya haraka. Mfumo wetu unatunza records zote hata zile zilizofutwa. Hivyo kuwezesha mtoa huduma kuwafikia wateja wake kwa haraka zaidi kwa case za new products, discount, etc
✓Ni Mfumo wa Messages, hivyo hauruhusu upigaji ama upokeaji wa simu. Hii inaondoa usumbufu kwa wateja ambao sio wastaarabu wanaopiga simu nje ya ya muda wa kazi ama wanaojaribu kuanzisha mahusiano nawatoa huduma
Bei zetu ni nafuu sanaa...
Mchanganuo wa Bei zetu ni km ifuatavyo
Installation ni ( negotiable )
Hii gharama sio constant. Itategemea na ukubw wa company.
Message1@ 18 TSH
Karibuni