Huduma ya Paypal Tanzania


Jaribuni kusoma kwa makini posts kabla ya kujibu.Tatizo tumesema lipo kwenye upokeaji wa pesa toka nje ya nchi.Kutuma hela sio tatizo.Try to read between lines
 

naomba unisaidie mana nashindwa sign up pay pal
 
google pay pal international. utaona link ya Tanzania. iclick then unaregister
 
google pay pal international. utaona link ya Tanzania. iclick then unaregister
 
nataka kujiunga tatizo ZIP CODE ndo sijui najaza nini (zipi)? msaada tafadhali katika hili
 
Ni kweli sisi tunaweza lipa kwa paypal ila si kilipwa ni shida sijapata kuona mamlaka husika iliangalie hili kwa kweliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…