Huduma ya Fumigation-Arusha.

Huduma ya Fumigation-Arusha.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wapenda habari za asubuhi.?

Napenda niwatangazie kuwa tunatoa huduma za Fumigation katika nyumba binafsi,ofisi,shule,hoteli,migahawa,bucha nk.

Timu yetu ina watu wazoefu wa kufanya kazi hii kwa ustadi na uaminifu mkubwa.Tunatumia dawa kali kuua kabisa wadudu wote,pamoja na mayai yao yote kwa muda mfupi.

Hakuna haja tena ya kunyanyasika na wadudu kama mbu,mende,nzi,viroboto,funza nk

Gharama zetu ni nafuu sana hutegemea na eneo litakalopuliziwa dawa.

Wasiliana nasi leo tukuletee mtu kwa ajili ya kazi hiyo.

Simu: 0787140432 | 0752489529.

Karibuni wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom