MKAGUZI MKUU
Member
- Nov 26, 2014
- 7
- 0
Ni zaidi ya saa 1 tupo katika foleni kusubiri mtoa dawa!haileweki ni nani na yupo wapi wahudumu wanaingia na kutoka!hospitali za serikali ni hovyo tu sasa hii ni hospitali ya wilaya huko katika zahati hali ikoje?tena kuna mgonjwa kaletwa katika machela anayemsaidia ni ndugu yake wahudumu wamekula bati!