Huduma Mbovu benki ya NBC Songea

Huduma Mbovu benki ya NBC Songea

chief_massai

New Member
Joined
May 1, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Tangu week iliyoisha nimekuwa nikifuatilia utatuzi wa kufungua akaunt katika bank ya NBC lakin nimefadhaishwa sana na nimekereketwa na huduma mbovu zinazoendelea kutolewa na bank ya NBC tawi la Songea mjini kwani kufungua akaunt binafsi imenigharimu muda mwingi bila mafanikio yoyote ilihali ninaviambatisho vyote muhimu.
 
Mkuu! Hela ya kwako bado una hangaika?

Mi huwa nahangaika wakati wa kusaka hela tu, na sio wakati wa kuitumia. Hapo saka benki nyingine tu fasta fungua akaunti anza kukimbiza mihamala fasta.
 
Fungua kwengine mkuu,nilikuwa na shida ya kurenew card nikiwa dar,nikaenda NBC tawi fulani dar,wakanihudumia vizuri ikabaki wapate taarifa fulani kutoka songea ambako nilifungulia akaunti,

huwezi amini nilifululiza kwenda pale karibia wiki mbili na jibu nikawa napewa hilo hilo kwamba taarifa hazijatumwa richa ya kuwapigia simu.Uzuri yule mama akanipa mbinu nyingine ya kutoa pesa iliyopo kwenye akaunti na toka hapo sijawahi kuwatumia tena NBC.
 
Back
Top Bottom