Huduma kwa wateja.

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Hiyo ndiyo hali halisi katika ofisi mbalimbali,mteja si mfalme
 

Attachments

  • CC.jpg
    50.7 KB · Views: 152
Hiyo ndiyo hali halisi katika ofisi mbalimbali,mteja si mfalme
Hakuna tofauti na wadada wa kampuni za simu Tz,walivyo taratibu na majibu kama vile walilazimishwa kufanya kazi.
 
wakuu wa kazi supervision muhimu kw hawa wadada!,hiyo ni moja kati wahudumu kibao wanaozingua au anaweza kuwa chakula ya bosi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…