Huba la mtoto wa kitanga

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,634
Reaction score
112,475
Kaniloweka atanitoa kesho...[emoji13] [emoji13]
 
mkuu mbona sijaelewa hii thread najaribu kuirudia rudia x2 lkn bado sijaelewa kbsa.
 
Tanga huwezi lowesha kwenye pipa km huyo jamaa.... Wala hatuko hivyo kabisa.. Yaani unabebwa mgongoni wakati wa kupelekwa bafuni kuoga. Ukifika huko unaogeshwa na maji ya uvuguvugu yaliyo ungwa na viungo kadhaa km hiriki huku umekaa kenye kigoda bafuni.
Unaogeshwa huku unabembelezwa tartibuuuu... Mara mtoto anakupa mambo ya chura ananesanesa...Usipokuwa makini wazungu wa meli haoo..wanaruka ruka..karibuni Tanga mpate raha na radha ya mapenzi...
 
Hii thread haihusu mapenzi, mbona umeileta huku akati kuna jukwaa la vichekesho? #Mtafuta KiKi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…