kwenye simu soc inamaanisha mambo haya
-processor bora
-gpu bora
-modem bora (even hio 3g)]
-wifi bora
-camera mechanism bora
-malware wachache
usidharau soc ya simu, ukipata soc bora zaidi ni vyema,
kuhusu kioo zote zina resolution moja inamaana y550 itakuwa na kioo sharp zaidi sababu kioo kidogo na resolution 480p wakati y625 kioo kikubwa na resolution ile ile 480p.
na hii y550 nafkiri zipo dual sim pia