Jaribu kudownload application nyingine ya camera, uijaribu kama bado tatizo lipo Nenda kwenye setting, backup and restore alafu fanya factory reset. Ikigoma hapo pia fanya mpango wa kuiflash. Kabla hujafanya chochote nakushauri kwanza ufanye backup ya data zako