vide2014 Member Joined Apr 1, 2014 Posts 27 Reaction score 4 May 19, 2014 #1 Msaada anaejua njia nyengne mbadala ya kuapgrade firmware ya huawei y300 androids. Automatic upgrade imefeli.assist plz
Msaada anaejua njia nyengne mbadala ya kuapgrade firmware ya huawei y300 androids. Automatic upgrade imefeli.assist plz
Kisali.TechnitianJr. JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 592 Reaction score 183 May 19, 2014 #2 Una uhakika kuna new upgrade?:what:
Mtu-Pori JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 1,308 Reaction score 1,519 May 19, 2014 #3 Ingia kwenye web ya Huawei upande wa Support kuna downloads, kama kuna updates utasoma pale kuna maelekezo uone kama yako updates zako zipo. Nilitumia hiyo simu mwaka jana mwezi wa 6, niliingia huko lkn hakukuwa na update kwa ajili ya Y300.
Ingia kwenye web ya Huawei upande wa Support kuna downloads, kama kuna updates utasoma pale kuna maelekezo uone kama yako updates zako zipo. Nilitumia hiyo simu mwaka jana mwezi wa 6, niliingia huko lkn hakukuwa na update kwa ajili ya Y300.
Dio JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 1,274 Reaction score 159 May 20, 2014 #4 hakuna update yake bado